Lukaku Avunja Rekodi ya De lima Inter.


 

Mshambuliaji wa Ubelgiji anayekipiga katika klabu ya Inter Milan ya Italia, Romelu Lukaku jana amefanikiwa kuvunja rekodi ya gwiji la soka Ronaldo de Lima.

Katika mchezo wa jana dhidi ya Crotone ambao walishinda goli 6-2, Mshambuliaji huyo alifanikiwa kufunga goli dakika ya 64 na kukamilisha magoli 50 tangu ajiunge na klabu ya Inter Milan.

Rekodi hiyo ilikuwa kuwa inashikiliwa na Ronaldo de Lima ambaye alikuwa mchezaji wa kwanza ambaye si raia wa Italia kufunga magoli 50 katika mechi 78 za kwanza.

 

Lukaku amekwisha cheza jumla ya mechi 70 tangu ajiunge na klabu hiyo na jana amefanikiwa kufikisha goli lake la 50, katika rekodi ambayo imedumu kwa miaka kadhaa.

Ronaldo Miaka 23
Mechi : 78
Magoli : 50

Lukaku Miaka 27
Mechi : 70
Magoli : 50


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

17 Komentara

    Goodnews

    Jibu

    Safi sana lukaku

    Jibu

    Lukaku jembe

    Jibu

    Lukaku upo vzur pale man ulikua uonekan mshkaj

    Jibu

    Pongezi kwake lukaku

    Jibu

    Lukaku baba lao

    Jibu

    Lukaku pongezi kwako sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Lukaku noma

    Jibu

    Lukaku yupo vizuri sana

    Jibu

    Lukaku anazidi kutufurahisha mashabiki

    Jibu

    Lukaku noma

    Jibu

    Lukaku yupo vizuri Sana

    Jibu

    Jembe lukaku

    Jibu

    Namkubali sana lukaku

    Jibu

    Lukaku anafanya poa sana

    Jibu

    Lukaku mtu mbad

    Jibu

Acha ujumbe