Mshambuliaji wa Inter Milan, Romelu Lukaku anaripotiwa kuwa kikaangoni baada ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa hotelini, huku sherehe ikiisha wakati polisi wakiwasili eneo hilo.

Polisi waliwasili eneo la tukio baada ya kupata simu mida ya saa tisa usiku na kusafiri hadi Milan baada ya kupokea simu hiyo.

Taarifa iliyoripotiwa na Corriere della Sera inasema kuwa polisi waliwasili mida ya saa 9 usiku na kuingia hotelini, mahali ambapo sherehe ya kuzaliwa ya Lukaku ilifanyika, katikati ya miji wa Milan.

Romelu Lukaku

Sherehe hiyo ilifanyika baada ya ushindi wa bao 3-1 dhidi ya Roma, ikihusisha watu zaidi ya 24 wakiwemo Achraf Hakimi, Ivan Perisic na Ashley Young, pamoja na meneja wa hoteli aliyeratibu tukio zima.

Wote waliokamatwa kwenye tukio hilo wanawajibishwa kwa kukiuka taratibu za kujikinga na maambukizi ya Covid19.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Lukaku, Lukaku Kikaongoni Kwa Kusherekea Birthday!, Meridianbet

CHEZA HAPA

16 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa