Luke Shaw Arejea Man United

Beki wa klabu ya Manchester United Luke Shaw ambaye alikua anaandamwa na majeraha inaelezwa amerejea kwenye mazoezi ya klabu hiyo kuelekea michezo ijayo ya timu hiyo.

Taarifa ya klabu ya Manchester United ndio ilieleza juu ya beki huyo kurejea ndani ya kikosi, Huku akianza mazoezi ya peke yake lakini akitarajiwa kujiunga na kikosi cha kwanza.luke shawManchester United imekua ikiandamwa na majeraha ya mara kwa mara na beki Luke Shaw ni miongoni mwa wachezaji wa klabu hiyo ambao walikua wanaandamwa na majeraha lakini amefanikiwa kurejea.

Klabu hiyo inatarajia kua na beki huyo raia wa kimataifa wa Uingereza kwenye mchezo wao wa wikiendi dhidi ya klabu ya Everton, Hiyo ni kutokana na klabu hiyo kuandamwa na majeraha sana.luke shawBeki Luke Shaw amekua mchezaji mhimili ndani ya klabu hiyo kwa misimu kadhaa sasa, Lakini msimu uliomalizika alikua na msimu bora sana jambo ambalo limemfanya kocha Erik Ten Hag kupata wakati mgumu mwanzoni mwa msimu huu.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.