Klabu Simba SC imethibitisha kukamilisha Usajili wa Kiungo Mkabaji wa Kimataifa wa Uganda, Taddeo Lwanga.

Akiwasili kwa Mabingwa hao Watetezi  wa Tanzania Bara kuwa mbadala wa Mbrazil, Gerson Fraga ambaye Ni majeruhi wa muda mrefu.

 

lwanga, Lwanga Ajiunga na Simba Sc., Meridianbet

 

Taddeo amecheza Katika Vilabu vya Vipers SC, SC Villa na Express FC zote za nyumbani kwao Uganda Kisha kutimkia Tanta SC ya Misri.

Mchezaji huyo aliachana na na Tanta Julai Mwaka huu – Lwanga Ni sehemu ya Wachezaji wanaounda Kikosi Cha Timu ya taifa ya Uganda Cranes.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

lwanga, Lwanga Ajiunga na Simba Sc., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

26 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa