Spain inaonesha kwenye uwekezaji wa vijana kwenye uwekezaji wa sika la vijana hawataki masihara baada ya vijana wao wa umri chini ya miaka 21 kui garagaza timu ya watu wazima ya Lithuania kwa mabao 4-0 jana.

Kutokana na Sergio Busquets wa Uhispania kukutwa na COVID 19 imelazimu timu nzima iwekwe kwenye uangalizi kwa muda

Spain

Sasa jana walikuwa na mchezo wa Kirafiki dhidi ya Lithuania, ikabidi timu ya Vijana yani Spain U21 wakawakilishe kwa niaba ya wakubwa zao

Madogo wakaenda kumpa Lithuania 4-0, tena kwa mpira mwingi umepigwa, kisha wakatawanyika makwao, wanasubiri mission nyingine


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa