Ripoti zinadai kuwa Real Madrid wana wasiwasi juu ya hatma ya nyota wao Gareth Bale ambaye anatumikia mkataba wake wa mkopo kule Tottenham Hotspurs.
Taarifa zinataja kuwa kuna uwezekano mipango ya uhamisho ya Real Madrid ikaharibika kwa kukatishwa kwa dili la mkopon la Gareth Bale, ambaye aliondoka klabuni hapo baada ya kupoteza imani na meneja Zinedine Zidane.
Gareth Bale amecheza mechi 11 tu za Spurs msimu huu kati ya mechi 23 ambazo zilikuwa na uwezekano wa kuchezeshwa kwa michuano yote, katika kipindi chake cha kwanza Real Madrid akiwa chini ya Jose Mourinho.

Vyanzo vya habari za michezo Hispania vinasema kuwa Real walikuwa wanatarajia kuwa nyota huyu wa miaka 31 angefanya vizuri na kujihakikishia dili la kudumu kule Spurs, lakini sasa anauguza tu jeraha. Hii ina maanisha kuwa klabu ya Real Madrid ingekuwa na uhakika wa kupunguza £650,000 kwenye vitabu vya malipo.
Wakati klabu ikiwa na mpango wa kufanya sajili zaidi katika dirisha lijalo, basi kurejea kwa Bale kutakwamisha lengo hilo kwa kiasi fulani kwa kuwa klabu bado itakuwa inahitaji kumlipa pesa nyingi Gareth Bale. Mkataba wake wa sasa ba Real Madrid unaisha Juni 2022.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???




Shakila mrope
Hiyoni klabu kubwa haina cha kuhofia maana uchumi wao upo vizuri
farida ahmad
Nouma Sana
Angelina
Goodupdate
Caroline
Asante kwa taarifa
Sarah
Asante kwa taarifa
Rahmal
Nice
Hopemwaikuka
Ndo ishakua tena
Issa
Bale ana furaha kucheza spurs
Ernest Kimeru
Bale Spurs ni nyumbani sema tu issue ipo kwenye Malipo lakni Bale anaweza amua chochote kwenye maisha yake ya Soka kwasasa.
Dorophina
Ni vizuri bale akaenda huko spurs
Saupha mohamed
Safi
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri
Mwanahamisi
Noma sana
warda
Hawezi kubali kurudi
Tatu
Safi