Madrid Hawasajili Mtu Januari.

Zimebaki siku chache kuelekea usajili wa dirisha dogo ifikapo Januari 1, 2022. Real Madrid, hawana mpango wa kumsajili mchezaji yeyote.

Ni kawaida kwa baadhi ya vilabu kuongeza nguvu kwenye vikosi vyao kwenye usajili wa dirisha dogo. Bruno Fernandes alisajiliwa Man United mwezi Januari na akaenda kuwa mkombozi wa United msimu wa 2019/20.

Baadhi ya wachezaji wanahusishwa na Real Madrid akiwemo Pogba na Kylian Mbappe. Wachezaji hawa anamaliza mikataba yao mwishoni mwa msimu huu na hivyo, wanaruhusiwa kusainiwa na vilabu nje ya EPL na Ligue 1.

Madrid

Kocha mkuu wa Madrid, Carlo Ancelotti ameweka wazi mipango yake kuelekea usajili wa dirisha dogo. Ancelotti anasema;

Sipendi sana sajili za Januari. Kama tunawachezaji ambao hawana furaha, ni kitu ambacho tunaweza kukifikiria lakini, hatutasaini mchezaji yeyote. Tunawachezaji wa kutosha kupambana mpaka mwishoni mwa msimu.


MUDA WA KUJIACHIA NA CARNAVAL JACKPOT

Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe