Real Madrid Kuiwinda Saini ya Son! Watamtoa Spurs?

Real Madrid wanaripotiwa kutarajia kumfukuzia mshambuliaji wa Tottenham Hotspur Son Heung-min.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Korea Kusini ametengeneza ushirikiano mzuri sana na Harry Kane msimu huu na tayari anajivunia mabao 15 na asisti nane katika mashindano yote kwenye kikosi cha Jose Mourinho.

Spurs inasemekana wanatarajia kumpa kandarasi mpya kama jambo muhimu au dharura, na mkataba wake wa sasa unaisha mwishoni mwa kampeni ya 2022-23.

Real Madrid Kuiwinda Saini ya Son! Watamtoa Spurs?

Hata hivyo, mwandishi wa habari wa Uturuki Ekrem Konur anadai kwamba meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane amempenda Son na anapenda kumleta mshambuliaji huyo pale Bernabeu msimu wa joto.

Konur anaongeza kuwa mabingwa wa La Liga hivi karibuni watawasiliana na wawakilishi wa Tottenham juu ya uwezekano wa kufanya makubaliano ya biashara hii, ingawa Mourinho ameonesha matumaini juu ya kumbakiza Son kwenye vitabu vya Spurs.

Mchezaji huyo wa miaka 28 amefunga mabao 99 na kuweka 54 zaidi kwa Spurs tangu awasili kutoka Bayer Leverkusen katika msimu wa joto wa 2015.


 

VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

15 Komentara

    Hapo mchawi mkwanja tu atatoka

    Jibu

    Pesa ndo msema kweli

    Jibu

    Pesa ndio mpango mzima kwasababu uyo mkorea yupo moto

    Jibu

    Kwa kijana mambo yanazidi kumnogea
    Mwaka wake

    Jibu

    Waongeze dau watamchukua tu

    Jibu

    Son yuko vizuri watie mzigo wamnase

    Jibu

    Hapo nimambo yapesa tu waweke dau watampata

    Jibu

    Son Yuko vizuri wafanye kweli wampate saini yake

    Jibu

    Son yupo vizuri

    Jibu

    mwenye pesa ndefu ndo atakayemchukua

    Jibu

    Pesa ndio kila kitu

    Jibu

    Son namuelewa sana

    Jibu

    Mkwanja ndo mpango mzima

    Jibu

    Ila Zidane anapendaga kuchukua wachezaji wanaojua sana

    Jibu

    Aondok spurs

    Jibu

Acha ujumbe