Mcheza Tenisi, Andy Murray amepata ushindi wake wa kwanza dhidi ya wachezaji 20 bora mwaka huu kwa ushindi wa 6-1 3-6 6-2 dhidi ya Denis Shapovalov katika mashindano ya Madrid Open.

 

madrid open, Madrid Open : Murray Kuvaana na Djokovic., Meridianbet

Murray atapambana na mchezaji namba moja wa dunia Novak Djokovic, ambaye alitinga hatua ya 16 bora ya Madrid Open kwa ushindi wa seti za moja kwa moja dhidi ya Gael Monfils.

Mchezo huo wa ATP Tour, Madrid Open utakua ni mchezo wao wa kwanza kwa manguli hao wa Tenisi duniani tangu walipokutana mwaka 2017.

Murray, 34, alimfunga Denis Shapovalov kwa seti tatu Jana usiku na sasa atamenyana na Djokovic katika hatua ya 16 bora baada ya Mserbia huyo kumtoa Gael Monfils kwa seti za moja kwa moja.

Akizungumza katika mahojiano yake ya baada ya mechi, Murray, ambaye alipewa kadi ya njano kwa ajili ya tukio hili, alisema kuhusu pambano lake la 37 la maisha yake na Djokovic: “Ni wazi kwamba yeye ni namba moja duniani [na] ninacheza na nyonga ya chuma, kwa hivyo haipaswi kuwa na nafasi.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa