Madrid Wanataka £ 21m Kumuachia Isco.

 

Klabu ya Real Madrid wameweka bei yao ya kumuuza kiungo wao Isco, baada ya klabu ya AC Milan kuonyesha nia ya kutaka kumvuta katika ligi ya Serie A.

Madrid wanataka angalau € 18 milioni (£ 21m / $ 15m) kwa mchezaji huyo huyo mwenye miaka 29, ambaye ameingia miezi 12 ya mwisho kwenye mkataba wake.

Mshahara wa Isco unaweza kuwa sababu kubwa ya kutofanikisha dili hilo endapo AC Milan watashindwa kumlipa mshahara wa sasa anaolipwa katika klabu hiyo wa Euro milioni 6.5 kwa mwaka.

Msimu wa 2020/21 ulikuwa mwingine mgumu kwa Isco huko Real, akianza michezo nane tu ya La Liga na akashindwa kufunga msimu wote kwa mara ya kwanza katika taaluma yake nzuri.


VUNA MKWANJA NA KASINO ZA MERIDIANBET!

Unakila sababu ya kuwa moja ya mamilionea katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Mchezo wa Ruby Casino Queen unaweza kukufanya ujishindie mkwanja mrefu. Furahia ubora wa kasino zetu na njia kibao za kuwa mshindi leo hii ukiwa na mrembo Ruby.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe