Madrid Yaandaa £292m Kumleta Haaland Bernabeu.

 

Klabu ya Real Madrid inaandau kiasi cha £292m kwaajili ya kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Erlin Haaland katika majira ya kiangazi.

 

Mwezi uliopita Barcelona walifanya mazungumzo na wakala wa Haaland, Mino Raiola wakati hivi karibuni Dortmund wamedhibitisha kwamba Real Madrid ni moja ya vilabu vinavyomuwania mchezji huyo.

Los Blanco’s wanaongoza mbio za kumsajili mshambuliaji huyo pamoja na mshambuliaji mwa PSG Kylian Mbappe ambaye anamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu.

Haaland, 22 amekuwa na misimu bora akiwa Dortmund akifanikiwa kufunga magoli 78 katika mechi 77 alizocheza tangu ajiunge akitokea klabu ya RB Salzburg miaka miwili iliyopita.

Real Madrid wanapanga kutoa mkataba wenye thamani ya £292m utakaojumuisha ada ya uhamisho ya £63million, ada ya wakala, mzazi wa mchezaji na mshahara wa mchezaji huyo kwa miaka 5.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe