Huu ni muendelezo wa maendeleo ya soka la Uingereza. Kuanzia 1888 hadi 1992 English Footbal League (EFL) ilishika hatamu katika soka la kulipwa na ilivutia sana.
Vilabu kote nchini Uingereza vilishindana katika ngazi tofauti. Mamilioni ya pauni hapa yalitumika kuzipa timu morali kupambania taji na kuipa ligi thamani dhidi ya ‘vijiligi’ vilivyokuwa chini yake.
Hapa tunaweza kuona kuwa katika kipindi cha miaka ya 1880 hadi 1990 tayari kulikuwa na ligi za madaraja ya chini na EFL ikiwa ligi kubwa, hii ndiyo safari ya soka la Uingereza. Mwaka 1992, ndiyo Ligi Kuu ya Uingereza (Premier ya League) ilizaliwa rasmi na ikaanza kurushwa kwenye televisheni.
Kutokana na ushawishi wa Televisheni, basi kukawa na ratiba rasmi kutoka kwenye ule mpangilio wa awali wa kucheza mechi saa tisa alasiri mpaka kuwa na ratiba ya mechi. Kuna baadhi ya mechi ambazo zilianza kwa kuchezwa mda ule wa saa tisa alasiri kabla ya mabadiliko makubwa.
Jina la English Premier League lilipatikana rasmi tarehe 20 Agosti 1992. Lakini kwa miaka zaidi ya 20 sasa ligi hii imebadilishwa jina karibu mara 4.
Katika maendeleo ya soka la Uingereza: Hii ni orodha ya mechi zilizochezwa Tarehe 15 Agosti 1992 kwa ratiba ya saa tisa alasiri
- Arsenal v Norwich
- Chelsea v Oldham
- Coventry v Middlesbrough
- Crystal Palace v Blackburn
- Everton v Sheffield
- Ipswich v Aston Villa
- Leeds v Wimbledon
- Sheffield United v Man United
- Southampton v Tottenham Hotspur
Hivyo, mechi hizi ndiyo mechi za awali kwenye ligi mpya, ambayo ndiyo Ligi ya Sasa ya uingereza. Kisha mechi ya Manchester City v Queen Park Rangers ilifuata baada ya hizo na kupangwa saa moja na dakika 45 usiku.
Taji la msimu wa 1992/93 lilichukuliwa na Man United, ambaye mpaka leo anaongoza kwa mataji akiwa na mataji 13, na ni kioo cha soka la Uingereza kama vilabu vingine.
Soka la Uingereza liliendelea kupitia mchakato wa maboresho ambayo mpaka sasa yameifanya imekuwa ni ligi bora na ligi pendwa zaidi duniani.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.



Issa
Epl ligi inayoleta hamasa na ushindani zaidi
Sabrina
Asante kwa taarifa
Omary lukumbi
Nice kwa taarifa
Dorophina
Ligi ya epl inakuwa na ushindani sana na ndio inavyotakiwa
Ernest
EPL imejizolea wapenzi wengi kutoka nchi mbalimbali na kuifanya kuonekana ligi bora zaidi Barani ulaya
Mwajumah
Asante kwa makala
aisha
EPL iko powa sana
Sauda
Epl ligi inayoleta ushindani mkubwa sana
magdalena
ligi yenye ushindani wa hali ya juu
Nasra
Leo hapatoshi kabisaa
Zeiyana
Soka la uingereza ndio soka linalo leta molali na lina washabiki wengi
Adelta
Ligi lenye ushindani wa kutosha
@meridianbettz
Khadija
soka za uingereza ndio soka zinazotugea pesa mashabiki kwanza michezo ya uwakika sio soka za kibongo kabla mechi haijacheza ushajua leo bingwa nani!!!wik hii ikishinda timu furan wiki inayokuja unajua kabisa inashinda timu furan c kualibiana pesa uko#meridianbett
Caroline
Asante meridianbet Kwa taarifa
Mwanahamisi
Ligi yenye upinzani mzuri
Fatina mfigi
Ligi pendwa!
Amiri Kayera
Mpango mzur
felister
ahsante kwa muendelezo
Sylvester
Hii ni ligi bora kwa sasa duniani ambayo ina mvuto wa kila aina ingawa bado timu yao ya Taifa bado haifanyi vizuri
Sadick
Mmiliki wa vyombo vya habari Rupert Murdoch ni mmoja ya watu mashuhuri wanaopewa credit ya kuitangaza ligi hii kupitia Television yake ya BskyB#mweridianbettz
jullie
makala nzuri
Johnmary joel
Epl ilo poa#meridianbett
Lydia Emmanuel Magoti
Epl ipo vizuri Sana imejizolea wanatu wengi kutoka nchi mbalimbali
Neema
Asante kwa taarifa
Saupha mohamed
Ligi inayoleta changamoto ya mpira
Janeflora malisa
Vzr sna
Hope mwaikuka
Hapa kama cjaelewa vzur
Povel
Gud news
Devotha
Good
Shafii
Iko poa.
David Pere
Soka la Uingereza liliendelea kupitia mchakato wa maboresho ambayo mpaka sasa yameifanya imekuwa ni ligi bora na ligi pendwa zaidi duniani.
Ester jackson
Ni mechi bora duniani ambazo zinamvutano Wa hali ya juu katika mchezo
Sadick
Jambo kubwa lililofanya ligi ya Uingereza kuwa ya kuvutia ni matangazo ya Television hasa BskyB#meridianbettz
Fatuma kasomo
Nimechi zenye mvuto wahali ya juu
Furahav
Makala nzuri.
JULIANA
Asante kwataharifa
Saupha mohamed
Ipo vizuri
warda
Kwa kweli ligi ya EPL iko po Sana
Gabriel
EPL inaushindan mkubwa sana