Nahodha na mchezaji tegemezi wa Manchester United, Harry Maguire alifanikiwa kucheza mchezo wa 72 wa timu hiyo bila kukosa mchezo wowote na kutoka nje kwa jeraha la fundo ya mguu zikisalia dakika 10 tu!
Katika mechi hiyo ulinzi wa Manchester United ulikuwa chini ya mabeki wa kati, Victor Lindelof na Harry Maguire na nahodha huyo alikuwa katika wakati mzuri sana huku Lindelof akionekana kuwa na wakati mgumu.
United walimaliza kipindi cha kwanza wakiwa nyuma kwa goli moja lililofungwa na Bertrand Traore kwa kosa la Lindelof ambaye alishindwa kuzuia mchezaji huyo kufunga goli hilo.
Kipindi cha pili kilipoanza United walionekana kushambulia kwa kasi sana na penati ya Bruno Fernandes kutokana na Pogba kuchezewa rafu, goli la Greenwood na goli la ‘super sub’ Edinson Cavani yakatosha kupeleka ushindi kwa mashetani hao wekundu!
Mechi hii imemfanya Maguire kuvunja rekodi ya kuwa mchezaji wa Manchester United aliyecheza mechi nyingi zaidi (72), akiipiku ile ya Gary Pallister aliyecheza mechi 71 kati ya November 1993 na May 1995.
Ushindi huu wa United umewafanya wamzuie tena City kukabidhiwa ushindi baada ya hapo juzi kufungwa goli 2-1 na Chelsea.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Pole sana utakaa sawa tuu
Uguwa pole
Pole sana
Pole sana kwa kuumia
Pole yake
Pole yake
Pole Sana
Pole sana
Pole sanaa
Pole sana
Pole yake
Pole
Pole