Beki wa Manchester United, Harry Maguire alipewa vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana wakimwambia wanampa saa 72 ajiondoe klabuni hapo au asubiri kifo kwa kulipuliwa na bomu.

Ujumbe huo ulitumwa kwake kwa njia ya barua pepe wakati akiwa mazoezini Aprili 20, 2022 baada ya United kufungwa 4-0 na Liverpool. Walimwambia wametegesha mabomu matatu nyumbani kwake na kumtaka afanye vile walivyomuagiza.

 

maguire, Maguire Atishiwa Maisha United., Meridianbet

Polisi walifika na mbwa wanaonusa mabomu nyumbani kwa mchezaji huyo kufanya uchunguzia lakini hawakupata chochote.

Mchumba wa beki huyo, Fern Hawkins na mabinti zao wawili walihama kwa muda kwenda sehemu salama na ulinzi umeongezwa kwa Familia ya Maguire.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa