Amahakika, Harry Maguire anapitia kipindi kigumu ndani na nje ya uwanja akiwa na Manchester United. Benchi linamsubiri wikiendi hii.

Maguire amekuwa akisemwa kwa kuonesha kiwango kibovu kwa siku za hivi karibuni (hasa msimu huu) na, kumekua na maswali mengi kuhusu uhalali wake wa kuendelea kuwa nahodha wa Man United na kupata namba kwenye mchezo.

Hali inaendelea kuwa mbaya kwa Harry. Alhamisi hii kumeripotiwa tukio la kutishiwa bomu nyumbani kwa mchezaji huyo ambapo, polisi na mamlaka za usalama zimechukua hatua za muhimu katika kufuatilia na kudhibiti hali hiyo.

Maguire, Maguire Kusugua Benchi Wikiendi, Meridianbet

Pamoja na maswahibu yanayomtokea mchezaji huyu, inasemekana yeye mwenyewe anataka kuwa miongoni mwa kikosi cha United kitakachosafiri kwenda Jiji London kuchuana na Arsenal wikiendi hii.

Hata hivyo, taarifa za awali zinaeleza kuwa, Ralf Rangnick amepanga kumueka Maguire benchi wikiendi hii ikiwa ni matokeo ya kiwango kibovu na matishio anayoyapata nje ya uwanja.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa