Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Maneno anayosemwa Maguire pengine sio stahili yake. Harry sio tatizo Manchester United.

Ni hali ya kawaida kushuka kiwango katika maisha ya michezo, hata maisha ya kawaida – kuna kupata na kukosa. Harry Maguire anapitia kipindi hiki kigumu ndani ya Man United. Sio Harry peke yake, ni wachezaji wote wa klabu hiyo wamecheza chini ya kiwango msimu huu.

Huu ni msimu ambao, hakuna mchezaji wa United ambaye atatembea kifua mbele kwa kuwa amefanya vizuri, hapana. Wote ni wahusika wakuu wa matokeo mabaya uwanjani. Maguire anabeba mzigo mkubwa kutokana na sababu kadha wa kadha – vyombo vya habari, gharama ya usajili iliyotumika kwake, unahodha alionao ni miongoni mwa visababishi.

Maguire, Maguire Sio Tatizo Man United., Meridianbet

Lakini, uhalisia ni kuwa, mchezaji huyo sio tatizo la Man United. Amekosekana kwenye michezo 3 iliyopita, United imeendelea kuruhusu magoli na nafasi kibao kwenye goli lao. Asingekuwa Harry kwenye mchezo wa Brighton (akitokea benchi), pengine United wangefungwa zaidi ya magoli 4 aliyoyakuta wakati anaingia uwanjani.

Kila mchezaji na kiongozi wa United anakitu cha kujibu kwa matokeo mabaya ya msimu huu, sio Harry peke yake.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa