Haya hapa makundi manne kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) baada ya droo iliyofanyika jijini Johannesburg Afrika Kusini.
Kundi A:
USMA 🇩🇿
Future 🇪🇬
Supersport🇿🇦
Al Hilal 🇱🇾
Kundi B:
Zamalek🇪🇬
Sagrada🇦🇴
S.O.A.R 🇬🇶
Abu Salim🇱🇾
Kundi C:
Rivers Unite🇳🇬
Club African 🇹🇳
Dreams 🇬🇭
APC Lobito 🇦🇴
Kundi D:
RS Berkane🇲🇦
Diables Noirs
Sekhukhune