Mambo ni Moto kwa Kasino

Ongezea ladha ya Mashariki ya Kati kwenye mikeka yako na kasino ya mtandaoni.

Habari njema kwa wale wapenzi wa kasino bomba za mezani pamoja na gemu za kurusha dice, hii Barbut kwa sasa inapatikana kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Gemu hii ina mambo mengi mazuri ya kihistoria ambayo ina asili ya Mashariki ya Kati ikiwa na sheria rahisi sana za uchezaji. Ingia mchezoni kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridian na ujaribu bahati yako iliyopo mkononi mwako!

Pale unapofungua gemu unakutana na vidokezo vizuri sana vikiwa na mapambo ya rangi ya zambarau kwa nyuma yake, ambavyo vinaleta amsha amsha za enzi za kale kule Mashariki. Upande wa kulia wa kioo kuna dice mbili, ambazo zipo kwenye uwanja wa kuchezea wakati upande wa kushoto una uwanja wa kubetia na kuweka mikeka.

Kufurahia mchezo huu mtamu unahitaji kiwango cha chini cha TShs 1100 na unaweza kuingia kibabe kwa kuweka dau kubwa kabisa la mpaka TSHs 50000. Mchezo wa Barbut unafanyika kwa die mbili. Kidokezo kikubwa ni kwamba kuna aina mbili za mikeka: juu na chini, inayofahamika zaidi kama Shooter na Fader, au Front au Back. Unaweza kucheza mojawapo ya aina hizo za uchaguzi wa mikeka ama hizo zote.

Baada ya kila mchezo kuwa umeshachezwa, inawezekana ukabadili hali ya mkeka wako kimpangilio. Mkeka wa juu yake unakuwa umesahihishwa kwa kutumia sheria hizi hapa:

  1. Endapo ukishinda 3: 3, 5: 5, 5: 6, dau lako linazidishwa mara mbili
  2. Endapo ukipata 6: 6 dau lako linalipwa kwa 50%
  3. Endapo ukipata 1: 1, 2: 2, 4: 4 au 1: 2 unakuwa umepoteza mkeka wako
  4. Ukipata muunganiko mwingineo, unacheza tena.
  5. Mnyumbuliko wa mkeka unakuwa kama huu ufuatao:
  6. Endapo ukishinda 2: 2, 4: 4, 1: 2, mikeka inalipwa mara mbili
  7. Endapo ukishinda 1: 1, dau lako linalipwa kwa 50%
  8. Endapo ukipata 3: 3, 5: 5, 6: 6 or 5: 6, unakuwa umepoteza mkeka wako
  9. Ukishinda mkeka wa aina nyingineyo, unacheza kwa mara nyingine.
  10. Jaribu sasa, zungusha dice na uone ni kwa namna gani mambo hayo ya kale yalidumu kwa miaka mingi – Barbut na kasino ya mtandaoni ya Meridian, muunganiko bomba sana!

Pia, ina sauti nzuri mno. Cheza sasa hapa leo BARBUT


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

25 Komentara

    Iko vizuro sana hii

    Jibu

    Kasino bomba Sana 👏

    Jibu

    hii nimewai jaribu lakini sikuilewa

    Jibu

    Kumbe ni mchezo mzuri sana

    Jibu

    Mara ya kwanza kucheza siku elewa ila kwa sasa ndo mchezo niupendao unanipa burudan na pesa pia

    Jibu

    Casino iko vizur alafu ni rahis kucheza

    Jibu

    Aaaah kweli casino kumenoga nitajaribu bahati yangu

    Jibu

    Mambo ni moto kwa kweliii

    Jibu

    Mambo ni moto🔥🔥

    Jibu

    Casino ni mchezo mzuri sn

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Michezo kama yote asante meridian

    Jibu

    Habari mjema

    Jibu

    Iko vizuri

    Jibu

    Yaani hata sichoki kuishika simu yangu kwa sababu ya hii casino ,ni nzuri balaa.

    Jibu

    Mchezo mzuri saana..

    Jibu

    Nimefurahi kuona Dau limeongezeka hapa inatupa fursa ya kupiga mshindo

    Jibu

    Mchezo mzuri sana

    Jibu

    Kweli kasino kumenoga najaribu bahati yangu

    Jibu

    Kwa casino hamna mpinzan

    Jibu

    Habar njema kwa wateja..

    Jibu

    Mambo yangu hayo yan hunibandui hapoo

    Jibu

    meridianBetTZ raha sana

    Jibu

    Casino Mchezo mwepesi kucheza

    Jibu

    Maoni:mchezo mzuri sana huo

    Jibu

Acha ujumbe