Mabingwa wa DStv Premiership Mamelodi Sundowns wamethibitisha usajili mpya wa wachezaji wanne kwa ajili ya msimu mpya wa mashindano.
Pavol Šafranko anawasili kama mshambuliaji kutoka Sepsi OSK kwa makubaliano yenye thamani ya € 700 000 (R12m). Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 amesaini kandarasi ya miaka mitano pamoja na beki wa kushoto wa kimataifa wa Israeli, Divine Lunga, winga Neo Maema na beki Grant Kekana.
Lunga anajiunga na Mamelodi kama mchezaji huru kutoka Golden Arrows, wakati Maema na Kekana walitia saini baada ya mikataba yao kumalizika Bloemfontein Celtic na SuperSport United mtawaliwa.
Wachezaji hao tayari wapo katika kambi ya Mamelodi tangu Jumanne kwa ajili ya msimu mpya wa mashindano.
IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!