Man City Kuwakosa Watano vs Chelsea.

Hali sio shwari katika klabu ya Man City baada ya maambukizi ya COVID19 kuendelea kushika kasi, Guardiola kuwakosa wachezaji watano kuelekea mchezo dhidi ya Chelsea.

Wiki iliyopita, City walishindwa kucheza mechi yao dhidi ya Everton kutokana na ongezeko kubwa la waathirika wa COVID19, licha ya Guardiola kusema alikuwa na wachezaji wakuweza kucheza mchezo ule, usalama wa wachezaji ni kitu kikubwa zaidi.

Akizungumzia athari za COVID19 kwenye kikosi chake, Pep Guardiola amesema “sidhani kama Premier League inaturuhusu kuwataja wachezaji (waathirika), lakini mtawajua jumapili.

“Tulitaka kucheza lakini siku ya mchezo, kwa idadi ya waathirika, tuliwataarifu Premier League.

“Mimi binafsi nilimpigia simu meneja wa Everton (Carlo Ancelotti) na kumueleza kinachoendelea kwa sababu siku moja kabla ya mchezo tuliwasiliana kuhusu hatari inayoweza kutokea.”

Kwa taarifa za awali, Man City itawakosa Kyle Walker, Gabriel Jesus na wengine watatu ambao majina yao hayajawekwa wazi.

Upande wa Chelsea, Hakim Ziyech anaweza kurudi uwanjani kwenye mchezo wa kesho baada ya kukaa nje ya uwanja kutokana na majeruhi.


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

19 Komentara

    Hii Corona sasa inataka kutuharibia mambo

    Jibu

    Corona jaman sio poa

    Jibu

    Coronavirus sio poa mwenyezi mungu atuepushe

    Jibu

    Majanga makubwa sana

    Jibu

    Huu ugonjwa ni balaa

    Jibu

    Corona noma sana

    Jibu

    Kila lenye mwanzo lina mwisho kila kitu kitaenda kama kilivo pangwa

    Jibu

    Huu ugonjwa nishidaa

    Jibu

    Man city wamepata pengo kubwa sana

    Jibu

    New upadates

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Corona nomaaa

    Jibu

    Corona tishio

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Corona hatari sana

    Jibu

    Majanga sasa

    Jibu

    Duuu Corona sio poa

    Jibu

    Corona iishe tu jaman

    Jibu

    Duuh hatari

    Jibu

Acha ujumbe