Man City: Majeruhi Wanaongezeka Kwa Kasi!!

Katika hali isiyo ya kawaida msimu huu, Ligi Kuu Uingereza – EPL inakumbwa na idadi kubwa ya majeruhi. Kama ilivyo kwa vilabu vingine, Man City idadi ya majeruhi inaongezeka kwa kasi.

Pep Guardiola atamkosa Fernandinho kwa takribani wiki 6 baada ya kupata majeruhi katika mchezo dhidi ya FC Porto.

Kuumia kwa Fernandinho kunaongeza idadi ya wachezaji majeruhi kwenye kikosi cha Man City kufikia 6. Gabriel Jesus, Nathan Ake, Benjamini Mendy, Kevin De Bryune na Aymeric Laporte wanakamilisha idadi hiyo.

Fernandinho Akipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuumia.

“Ni habari mbaya, ameumia sehemu aliyowahi kuumia kipindi cha nyuma. Atakuwa nje kwa muda mrefu.

“Inaweza kuwa wiki 4 mpaka 6. Ni hali mbaya kutokana na idadi ya mechi tulizonazo na hatuna wachezaji wa kutosha.” alisema kocha wa Man City – Pep Guardiola.

Man City watacheza na West Ham United kabla ya kuwafata Marseille na kisha kupambana Sheffield United zikiwa ni mechi 3 zinazofuata katika ratiba ya Pep Guardiola.


Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.

Soma Zaidi

28 Komentara

    Pokeni sana club ya man city kuongezeka kwa majeruhi ni bonge la pigo

    Jibu

    Duuh ishakua kesi watu 6 wote majeruhi ila tuwaombee wapone mapema warudi mchezoni

    Jibu

    sad news

    Jibu

    Duh!!pole yao

    Jibu

    Man city wanaali mbaya sana wachezaji tegemezi wote wajeruhi

    Jibu

    Duh poleni

    Jibu

    Hayo majanga sasa

    Jibu

    Duuuh majanga

    Jibu

    duh hii balaa sasa maana mchezo unaokuja utakuwa mgumu sana upande wao

    Jibu

    Man City poleni Sana

    Jibu

    Man City naona kama msimu huu wameandamwa na majeruhi sana itawasababishia kupoteza michezo mingi sana wasipokuwa makini

    Jibu

    Pole sana kwa city

    Jibu

    Punguzeni kucheza rafu.

    Jibu

    Duu sio poa

    Jibu

    Sio habari nzuri

    Jibu

    Hil ttz sasa

    Jibu

    Umakin muhim ‘ piah poln

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Get well soon champ

    Jibu

    Habar ya kusikitisha

    Jibu

    Ni wakat mgum kwa pep

    Jibu

    City msimu huuuuuu nawasiwasi nao kwny kufany vzr kwny mashindAno ya ndani na nje Kama watafanya vzr msimu huuu

    Jibu

    Ndo vizur waongezeke tu

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Daah city msimu huu wanakuwa na Hali mbaya kutokana na wachezaji wengi kuwa majeruhi.

    Jibu

    Du! majanga

    Jibu

    Chezen kwa umakin

    Jibu

    Duuh sio poa

    Jibu

Acha ujumbe