Kuelekea mchezo wa 35 kwa Man United kunako EPL msimu huu, orodha ya majeruhi inaongezeka kwenye kikosi cha timu hiyo.

United watakua uwanjani Alhamisi hii kuchuana na Chelsea ndani ya Old Trafford. Kwa hali ilivyo, The Red Devils inawakosa takribani wachezaji 6 wa kikosi cha kwanza.

Pogba, Maguire, Sancho, Shaw, Fred na Cavani wote watakosekana kwenye mchezo huu wakati ambao, Wan Bissaka huenda akakosekana na hivyo orodha kuongezeka zaidi. Hili ni pigo kwa Rangnick ambaye anatoka kwenye vipigo vitatu kwenye michezo 4 iliyopita, anakwenda kuchuana na The Blues.

Man United

Kutokana na idadi ya majeruhi walipo kwenye kikosi cha Man United, Ralf Rangnick amethibitisha kuwepo na wachezaji 14 tu (pamoja na chipukizi) kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Chelsea hali ambayo inampa mashaka kuelekea mwishoni mwa msimu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa