Chelsea anasafiri kuumana na man United, ambao bado watakuwa wanatarajia kuendelea kuwa na matumaini ya kumaliza kwenye nne bora baada ya mechi ya Alhamisi Jioni.
Mashetani Wekundu, walikubali kichapo cha bao 3-1 dhidi ya Arsenal wikiendi iliyopita, wakati vijana wa Thomas Tuchel wakipata ushindi dakika za nyongeza.
Wakati Raphael Verane akirejea kwenye kichapoi dhidi ya Arsenal, Paul Pogba, Edinson Cavani na Luke Shaw bado wanaonekana kutia shaka kwa Man United kuelekea Man United vs Chelsea.
Jesse Lingard na Juan Matta wanatajwa kumpa ushindani Fernandes.
Kwa upande wa Chelsea, Ben Chilwell na Callum Hudson-Odoi amabao hawajakuwepo kwa muda mrefu, pamoja na Mateo Kovacic wanaonekana kuendelea kuwa changamoto kwa the Blues.
Man United vs Chelsea: Vikosi vinavyotarajiwa
Manchester United:
De Gea; Dalot, Varane, Maguire, Telles; McTominay, Fred; Elanga, Fernandes, Sancho; Ronaldo
Chelsea possible starting lineup:
Mendy; Chalobah, Silva, Rudiger; Azpilicueta, Kante, Jorginho, Alonso; Mount, Pulisic; Havertz
Fomu ya Man United vs Chelsea:
Wataalamu wanatabiri Man United 0-1 Chelsea. Wewe unasemaje? Weka jamvi lako HAPA