Man United Yaita Wachezaji Wake

Manchester United imewaambia wachezaji wake ambao wake nje ya nchi kipindi cha mlipuko Corona warejee UK wiki hii.

Agizo hilo linakuja baada ya vilabu vya Premier League kuonyesha nia ya kutaka kuanza mazoezi hapo baadae mwezi huu chini ya Muswada wa  Project Restart, ambao umewasilishwa kutoka kwa Madaktari wanne wa vilabu vya EPL.

United bado hawajatoa tarehe rasmi ni lini mazoezi yataanza kwa Ole Gunnar Solskjaer katika uwanja wa mazoezi wa Carrington.

Bruno Fernandes, Fred, Victor Lindelof na Sergio Romero ni moja ya wachezaji ambao walipewa ruhusa ywa kuondoka Uingereza mnamo Machi baada ya kuomba ruhusa kwa klabu.

Premier League inaamini ligi itaendelea Juni, katika viwanja teule bila mashabiki, lakini muswada umewasilishwa unasubiri ruhusa ya serikali.

Vilabu kadhaa vya EPL kwa utaratibu wa kukaa mbali mwezi uliopita wakati wengine wanasubiri mapitio ya zuio la Lockdown ambayo ni Mei 10.

United wapo nafasi ya tano nyuma ya Chelsea kwa pointi tatu kwenye msimamo wa  EPL, ikiwa bado michezo tisa.

21 Komentara

    Ni hatua nzuri sana na mAtumaini ligi itarud soon maana wapenz wamichezo tumemis kwa muda mrefu Asante meridian kwa habari

    Jibu

    Wanaume warudi kazini tukajihakikishie nafasi ya uefa

    Jibu

    👍👍👍👍👍👍👍 Asante #meridian kwa habari motomoto

    Jibu

    Safi rudini muje kuchukua taji la ligi.

    Jibu

    mambo n motooo

    Jibu

    Kazi kazini

    Jibu

    Kumekucha lzm itajulikana

    Jibu

    Hii itakua poa kufanya mazoez wawe fiti hata hapo ligi ikianza

    Jibu

    Safiii ludini mjekuchuku taji laligi

    Jibu

    Chama langu pigeni jalamba

    Jibu

    Taji la ushindi linawasubiri

    Jibu

    Meridianbet Sasa Raha tupu ukitaka kubashiri unaweza ukitaka habari zipo nomaa sana

    Jibu

    man u wanafanya vizuri kuwaandaa wachezaji wake ila inabidi wawe makini maana kila mmoja anatoka sehem mbalimbali ambazo ziliatholiwa na corona.

    Jibu

    Bora bwana mana sie wateja sie bila league ni mtihan

    Jibu

    Asantw .meridianbet kwa taarifa nzuri

    Jibu

    bora maana nilikua sina raha

    Jibu

    mda wa kupata mapene asante meridian kwa taarifa

    Jibu

    Ni hatua nzuri sanaaa kwa club ya man u kuwardisha wachezaji wake mapema

    Jibu

    Mambo yakupga mpunga yanakuja sasa

    Jibu

    Chama la Wana dimbani ahsante meridianbet kwa kutujuza Mambo ya duniani

    Jibu

    Afadhalii jamani tulimic mapenee #meridianbet

    Jibu

Acha ujumbe