Manchester City hawajamalizana na Messi

Wakati msimu mpya ukiwa ndiyo kwanza unaanza, Lionel Messi bado anaendelea kugonga vichwa vya habari juu ya hatma yake klabuni Barcelona. Manchester City wana nafasi yeyote?

Messi alihitaji sana kuondoka Barceloma, lakini Barcelona walifanya walivyoweza kubakiza.

Manchester City ni klabu iliyohusishwa kwa ukaribu zaidi na saini ya Messi, na bado Pep Guardiola anatajwa kuwa ndoto yake ya kumleta Messi Manchester City bado inaishi.

Ripoti zinasema kuwa Manchester City wanatarajia kuifukuzia tena saini ya nyota huyu mwisho wa msimu huu.

Lionel Messi
Lionel Messi

Matarajio ya wengi yalikuwa Messi angekamilisha uhamisho wake kuimba Barcelona baada ya kuwasilisha ombi la uhamisho.

Kwa maana hiyo, City wataendelea kuwa karibu na kinachojiri Barcelona, kama Lionel Messi atakuwa tayari kuondoka msimu ujao basi Pep Guardiola atafanya awezavyo kuipata saini yake.

Hata hivyo, sio Manchester City pekee ambao wanaiwinda saini yake, vilabu vingine kadhaa wakiwepo Inter Milan, wanatarajiwa kuwa wataingia sokoni kuiwinga saini yake.


 

Weka Pesa kwa Airtel Money!

Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!

Soma Zaidi

35 Komentara

    City waache wakomae ili kuipata saini ya Messi mwakani kwani tunamuhitaji Uingereza

    Jibu

    City Wana nafasi kubwa sana ya kupata saini ya mchezaj huyo kwn maisha ya la pluga Messi ndani ya Barcelona yamefikah tamati hvy city wananafasi kubwa kutwaa sain ya Messi kikubwa kukubaliana na uongozi wa Barcelona na Messi mwenyew hapo ndipo Messi hataruhusiwah kuondoka ndani ya viunga vya nou camp

    Jibu

    Bonge la makala

    Jibu

    Man city wafanye hivyoo msimu ujao Messi aje

    Jibu

    Eeh hakuna kunevergive up

    Jibu

    Mess ni ngum kusepa barca na city wavunje benk kumtwaa

    Jibu

    Asantee kwa makala

    Jibu

    Wamuuche atulie na Barcelona yake

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Man city ajitaidi kwa messi imchukue

    Jibu

    Hiyo ni ndoto tu ila Messi anaipenda Barcelona

    Jibu

    Messi hawez kuondoka Barcelona

    Jibu

    Messi anaipenda barca iyo ni ndoto tu kwa man city

    Jibu

    Wanazingua kabisaa MESSI hawezi kuondoka Barcelona

    Jibu

    Barcelona yamefikah tamati hvy city wananafasi kubwa kutwaa sain ya Messi kikubwa kukubaliana na uongozi wa Barcelona na Messi mwenyew hapo ndipo Messi hataruhusiwah kuondoka ndani ya viunga vya nou camp

    Jibu

    Itakuwa Vizuri sana kwa Messi kumalizia Soka lake au kucheza kidogo ligi ya Uingereza kabla hajamaliza soka lake

    Jibu

    Asnt kwa taarif

    Jibu

    Makala imekaa vinzur

    Jibu

    Kumbe City awajamalizana na Messi mazungumzo lakini siombaya Messi kumalizia soka lake Uingereza

    Jibu

    Messi si ameshadecide kubaki Barcelona Sasa man city wanatafuta nn tena

    Jibu

    City sijui kama wataweza dau la messi

    Jibu

    Man city wafanye kweli nao

    Jibu

    Man city wana moyo wa ajabu hawakati tamaa tuu!!!

    Jibu

    Messi nenda tuu city ili ukakiwashe hapo mwakani naona kama mbali vile

    Jibu

    Wasikate tamaa watafanikiwa kumpata Messi.

    Jibu

    Messi hana mpango wakuondoka tena Barcelona ule ulikua ni mpango tu wakuipa nafasi clabu kusajiri wachezaji chipukizi wenye uwezo ili kukamilisha kikosi chao kuwa kwenye ubora lakini messi kuondoka pale man city wasahau hilo

    Jibu

    Mess hawez kwenda City barca inamuamin sana

    Jibu

    City wakikaza kweli watamng’oa messi

    Jibu

    city hakuna kukata tamaa

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Safi

    Jibu

    messi sizani kama anaweza kuama barcelona mancity watoe tu ayo matumaini

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Asante kwa nakala

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.