Premier League inatarajia kurejea Juni 17 kwa mechi ya Aston Villa v Sheffield United na Manchester City v Arsenal, imethibitishwa na serikali.
Mechi zote za wiki zitachezwa wikiendi kwanzia 19-21 Juni.
Kuna mechi 92 zinahitajika kuchezwa, na za kwanza kucheza ni hizo timu nne zenye mechi mkononi.
Mechi zote zitachezwa bila mashabiki na zitarushwa mubashara na Sky Sports, BT Sport, BBC Sport au Amazon Prime.
Caroline
Nasubiri hii mechi kwa hamu
Shafii
Mechi ya kikatana shoka
Khadija
Habari nzuri kwetu mashabiki#meridianbetz
Neema hassan
Asante kwa habari#meridianbettz
felister
nasubiria kwa hamu kubwa
Warda
Woyooo hiyo tar. 17 mtot hatumwi dukani #Meridianbettz
Antony Luseno
Wadau wa EPL tunasubiri kwa hamu
Juliana
Bora zichezwe tu,tutaangalia kwa luninga
Lombo
gud newz
Theonestina
Vizur Sana
Magdalena
Inapendeza Sana habari nzuri
Hamidu
Big mechi..! arsenal ataweza kumpa ubingwa Liverpool!?tusubili na kuone#meridianabettz
David pere
Big mechi hiyo lakini inaweza kuwa ya upande mmoja
Adelta
Ni habari njema kwetu
Sisi mashabiki
Salma
Mambo mazuri hayo
Frank Patrick
kama kuna janja janja hapa inataka kufanywa hivii
Samiah
Gud news
Frank Patrick
kama kuna janja janja hapa inataka kufanywa hivi
aisha
Arsenal anashinda hapo
winfrida
arsenali wamejiandaa vya kutoshaa? maana man city wanauchu sana
Neema juma
Sio mbaya
Ernest
Ni Jambo jema , sio mbali sana hapo Juni 17,waiting for the kick off!!!!!
Mwanaidi
Bonge la mech hili
Hope mwaikuka
Vile nmejpanga sasa
Gabriel
Arsenal jeshiiiíi tunaua mtu
Genia Sikaluzwe
Arsenal jembe
Amani
Mechi Kali Sana hii
Elika
Juni 17 sio mbali..hakika tulisubiri kwa hamu kubwa na sasa kuchezwa bila mashabiki ni vizur pia
Rehema Dickson
arsenal ataweza kumpa ubingwa Liverpool!?tusubili tuone
Theckla
Itakuwa hatari sana
Rehema
Liverpool inachukuwa ubingwa
Evaluziga
Habari nzuri
Zeiyana
Liverpool..!tumemic kuona ligi msimu mpya
Lydia Emmanuel Magoti
Mechi yakukatana shoka iyo
dorophina
Nasubilia kwa hamu man City lazima ampige mtu
Ester mmakasa
Mambo mazuri hayo yanaanza jamani.
Sadick
Kama nawaona vile wapenzi wa Arsenal walivyonyong’onyea. Nasubiri kuona mtanange huo#meridianbettz
mwakalosi
nimeanza kufikilia mechi kuliko tarehe yenyewe jamani arsenal annacha point tatu za watu
Furahav
Bonge la mechi.
Hidaya Mohammed
Mechi babkubwa sio ya kukosa
Ester jackson
Daaah itakuwa bomba sana mana tunaisubiri
Hidaya Mohammed
Oyooo bonge la mechi
Aziza mushi
Mambo mazuri Ayo 👍
Devotha
Hiyo tarehe nasubiria kumuona samagoal uwanjani
Mwajuma
Nimemiss kuona magoli yamvua ya man city
Povel
Nime mic sana kuangaliah epl na kutandika jamvi langu hapo naweka gg3+
Mwanahamisi
Big mechi
Mariam mtandama
Mechi mzur
Emmy cleopa
Mechi zote ziko vizur