Klabu ya Manchester United imetoa taarifa ya kuongezeka kwa mapato kwa asilimia 30 kwenye robo ya tatu ya mwaka 2022 kulinganisha kipindi kama hiki kwa mwaka uliopita.

Mapato ya klabu ya Manchester United ya jumla kwa miezi mitatu inayoishia tarehe 31 March kwa mwaka huu yalikuwa ni £152.8million, ambapo ni asilimia 29.2 kutoka £118.3milion kulingana na robo mwaka.

Manchester United
Manchester United

Klabu imepata nyongeza ya mapato ya £34.1milion kwenye mapato ya mechi kwa kipindi hiki, kwenye kipindi cha mlipuko wa uviko-19 kulikuwa na ukomo wa mapato hadi £1.6milioni kwenye robo tatu ya mwaka 2021.

Gharama ya uendeshaji ya jumla ni f £21.8milion kwenye robo ya tatu, kulinganisha na £21.6milioni miezi 12 iliyopita, huku mapato ya matangazo ya television yakipungua  kwa asilimia 12 ni kiasi £51.5milion.

Deni la klabu lilikuwa  £495.7milion, limekuwa kwa asilimia 11.8milion kwa miezi kumi na mbili iliyopita.

Klabu ya Manchester United imepanga kutoa faidi kwa wanahisa wake kwa mwaka huu wa kifedha unaokwenda kuisha, na wamepanga kutoa asilimi a kwa kila hisaa watalipwa wanahisa kuanzia tarehe 24 June.

Mkurugenzi wa klabu ya Manchester United Richard Arnold, amekubali kuwa hawakufanya vizuri uwanjani kwenye waraka wake ambao aliunganisha na matokeo ya kifedha, United watakosekana kwenye ligi ya mabingwa msimu huu kutokana na kushindwa kufika kwenye nafasi za juu.

“Kazi inafanyika vizuri nikilielezea hili, tukiongozwa na mkurugenzi wa soka John Murtough na kocha wetu mpya Erik ten Hag.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa