Klabu ya Manchester United inampango wa kupunguza wachezaji watano tena ili kuweza kumpa wigo mpana kocha mpya Erik ten Hag kufanya maingizo mapya ya wachezaji ambao anahitaji kuwa nao kwenye msimu mpya.

Erik ten Hag anaatarajia kukutana wachezaji wake wote kwa mara ya kwanza wiki ijayo ambapo watakuwa wamemalliza muda wao wa mapumziko. Manchester United wanajiandaa na pre-season ambapo kocha Ten Hag atapata mwanya wa kuwaangalia wachezaji wake kabla ya kuanza msimu.

Manchester United, Manchester United Kuwatema Watano, Meridianbet

Kulingana na taarifa za ndani za klabu ya Manchester United imepanga kupiga panga la wachezaji watano ambao ni Eric Bailly, Phil Jones, Axel Tuanzebe, Aaron Wan-Bissaka na Brandon Williams.

Mpaka sasa Klabu ya Manchster United haijasajiri mchezaji yoyote tangu dirisha la usajiri lifunguliwe, ila kumekuwa na tetesi tu kadhaa kuhusu klabu hiyo kuwahitaji wachezaji kadhaa.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa