Mwaka 2023 ndio tamati ya uhusiano wa Sadio Mane na Liverpool. Japokuwa kunauwezekano wa kuongeza mkataba lakini, Sadio yupo tayari kuondoka Anfield.

Mane amekuwa na mafanikio ndani ya Liverpool ambapo, amefanikiwa kutwaa kombe la EPL na Ligi ya Mabingwa ikiwa ni sambamba na tuzo ya mfungaji bora. Akiwa na miaka 29 kwa sasa, mshambuliaji huyu ameongeza taji lingine kwenye historia yake ya maisha ya soka baada ya kubeba Kombe la AFCON.

Inasemekana, Sadio yupo tayari kuondoka Anfield kwenye usajili wa dirisha kubwa mwaka huu. Hili litawezekana endapo, FC Barcelona au Real Madrid zitaonesha nia ya kutaka kumsajili.

Mane, Mane Yupo Tayari Kuondoka Liverpool., Meridianbet

Lengo la Sadio siku zote limekuwa kuwepo kwenye orodha ya wachezaji wakubwa barani Afrika (Eto’o, Drogba na Weah). Hawa ni wachezaji ambao walipata mafanikio makubwa kwenye soka la Ulaya na Afrika kwa nyakati tofauti na, Mane anataka kufanikisha hilo.

Tayari amefanikiwa kwa nafasi yake ndani ya Liverpool na hivi karibuni akiwa na Senegal. Anaamini ni muda sahihi kwake kwenda timu nyingine (kati ya Barca na Madrid) na kupambania mafanikio akiwa huko.

Usajili wa Luis Diaz ambaye pia anacheza nafasi ya Sadio kule Anfield, kunaongeza chachu ya nafasi ya mshambuliaji huyu kwenye kikosi cha Liverpool.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa