Manzambi Arejea Villa Kuiwahi Hull

Aston Villa wamepata nguvu mpya kwenye kikosi kabla ya safari yao ya kuikabili Hull baada ya Johan Manzambi kurejea mazoezini kufuatia majeraha aliyoyapata ya kuumia goti.

Manzambi Arejea Villa Kuiwahi Hull

Manzambi, ambaye ni usajili wa rekodi wa £60 milioni wa Villa, alikuwa nje kutokana na jeraha hilo. Hata hivyo, kocha Unai Emery anatarajiwa kuwa makini na huenda asimlazimishe kuanza mchezo huo.

Villa pia wanaweza kumshuhudia Leon Goretzka akitumika kwenye mchezo huo kwa ukamilifu kwa mara yake ya kwanza, huku kikosi kikiendelea kujiandaa kwa mchezo muhimu baada ya kuanza msimu kwa vipigo dhidi ya Brighton na Arsenal.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Manzambi Arejea Villa Kuiwahi Hull

Kwa upande mwingine, Lamare Bogarde anaweza kupewa zawadi ya mkataba mpya baada ya Villa kukataa ofa zilizowasilishwa kwa beki huyo mwenye miaka 22. Emery anathamini uwezo wake wa kucheza nafasi mbalimbali na klabu bado inamtaka abaki.

Villa wanaingia kwenye mchezo huu wakitafuta pointi zao za kwanza msimu huu, huku takwimu za Opta zikitoa nafasi ya asilimia 39.3 ya kushinda dhidi ya Hull.

Hata hivyo, Emery atalazimika kufanya maamuzi makubwa kutokana na kutokuwepo kwa Amadou Onana na Boubacar Kamara, huku Manzambi akitarajiwa kuanza safari yake ya kurejea taratibu.

Manzambi Arejea Villa Kuiwahi Hull

Sasa macho yote yanaelekezwa Hull kuona kama Villa wataondoka na ushindi, au presha itaendelea kumwandama Emery baada ya mwanzo mbaya wa msimu.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.