Marcello Lippi: Nimemalizana na Ukocha

Aliyekuwa bosi wa zamani wa Italia, Juventus na pia mshindi wa Kombe la Dunia Marcello Lippi alisema “amemaliza kabisa” na ukocha.

Marcello Lippi amekaa bila kibarua kipya tangu ajiuzulu kuwa mkufunzi mkuu wa China Novemba mwaka jana kufuatia kushindwa kwa kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2022 dhidi ya Syria.

Mchezaji huyo wa zamani mwenye umri wa miaka 72 alitwaa taji akiwa Italia, kwa mabingwa wa Serie A Juventus na pia akiwa Uchina kwa Guangzhou Evergrande, lakini Muitalia huyu hatarajii kuendelea na ukocha.

Marcello Lippi

“Hakika nimemaliza na kazi ya ukocha, Hiyo ni kweli, inatosha. Labda ningeweza kuwa na umuhimu katika majukumu mengine, wacha tuone. Lakini hakuna chochote hadi masik.” -Marcello Lippi

Baada ya kumalizna na Atalanta na Napoli, Lippi alichukua umeneja Juventus mwaka 1994 – akiwaongoza Juve kutwaa mataji matatu ya Serie A na kombe la mwisho la Klabu Bingwa mnamo 1995-96.

Baada ya kufanya kazi nzuri na Juventus alipata kibarua katika timu ya taifa ya Italia mwaka 2004, na kuwaongoza kutwaa ubingwa wa dunia mwaka 2006.

Mwaka 2012 Marcelo Lippi aliamua kwenda China ambako pia ana kumbu kumbu nzuri ya mafanikio yake ya soka. Matarajio yake siyo kuwa meneja tena, lakini anaweza kuendelea kutumika kwa namna nyingine kwenye soka.


Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.

Soma Zaidi

26 Komentara

    Marcello kaongea kitu sa hii Sana mambomengine yafatwe kwenye mwendesho wa krab

    Jibu

    Ni jambo jema

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Safi

    Jibu

    marcello kaona sasa apumzike aachane na swala la kufundisha mpira

    Jibu

    Umri umeenda ni bora apumzike tu

    Jibu

    Ni jambo jema kupumzika kwan umri umemtupa mkono

    Jibu

    Umefanya kwa nafas yako pumzika sasa

    Jibu

    Ni haki yako kupumzika.umri umesogeaaa

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Umri umeenda ni bora apumzike awaachie vijana wapige kaz

    Jibu

    Safi kapumzike tu

    Jibu

    Kocha aliewapa italy kombe la dunia

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Pumzika LIPPI kitabu chako cha ukocha kimeshafungwa tayar🀝🀝🀝🀝🀝

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Umri umemtupa mkono

    Jibu

    Kafanya poa sana

    Jibu

    Kazi na umri inapendeza sana ukipumzika

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Afadhali akapumzike

    Jibu

    umefanya kile ulichostahili ni wakati wako ss wa kumpumzika

    Jibu

    Mapumziko mema mengi makubwa tumeona

    Jibu

    Namkubali sana jamaa huyu

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    lippi historia yake haiwezi kufutika

    Jibu

Acha ujumbe