Marcos Rojo Arejea Argentina.

Baada ya kujikuta akisugua benchi kwa muda ndani ya kikosi cha United, beki Marcos Rojo amerejea nyumbani kwao – Argentina.

Rojo amesitisha mkataba wake na Man United na amesajiliwa na Boca Junior kwa mkataba wa miaka miwili na nusu kama mchezaji huru.

Rojo (kushoto) akishangilia ushindi wa Ligi ya Europa na Romero (kulia).

Rojo alijiunga na Man United 2014 na aliitumikia timu hiyo katika michezo 122 na kufunga magoli 2 pekee.

Akiwa na United, Rojo amebeba mataji kadhaa ikiwa ni pamoja na FA Cup, Carabao Cup, Europa League na Ngao ya Hisani.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

13 Komentara

    Rudi home

    Jibu

    Nyumbn kumenog wlcm

    Jibu

    Duh Bora amerudi nyumbani kwao atapata muda wa kutosha wa kuuchezea mpira

    Jibu

    Nyumban ni nyumban tu

    Jibu

    Nyumbani ni nyumbani njoo upate nafasi ya kucheza

    Jibu

    Ila kasugua benchi sana

    Jibu

    Kila lakheri marcoss

    Jibu

    Mwenda kwao si mtumwa rudi nyumbani

    Jibu

    Go east go west home is the best

    Jibu

    Nibora amerudi nyumbani ni nyumbani

    Jibu

    Habari njema kwa wana Argentina

    Jibu

    Habari nzuri hii

    Jibu

    karibu

    Jibu

Acha ujumbe