Martin Odegaard Atua Arsenal

Klabu ya Arsenal imethibitisha kumsajili kiungo wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Norway, Martin Odegaard kwa mkataba wa mkopo.

Odegaard anaingia Arsenal kuongeza nguvu kwenye safu ya kiungo cha timu hiyo ambapo atawatumikia The Gunners mpaka mwishoni mwa msimu huu.

Taarifa rasmi kutoka Arsenal imetolewa na Mkurugenzi wa Ufundi, Edu ambaye amesema “tunafurahi kumkaribisha Martin mpaka mwishoni mwa msimu. Tunawashukuru Real Madrid na wawakilishi wa Martin kwa kuwezesha usajili huu wa mkopo kufanikiwa.

Odegaard

Martin ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa na tunaboresha kikosi chetu kwa kuongeza kiungo mshambuliaji kwa muda uliobaki kuelekea mwishoni mwa msimu huu”

Martin Odegaard atavaa jezi namba 11 na huenda akaanza na mechi ya Jumamosi hii dhidi ya Manchester United.


MSHINDANI HUSHINDA BWANA!

Anayejaribu hawezi kutoka kapa Meridianbet! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia ushindi mkubwa kila unapojaribu kuingia mchezoni. Washindi hushindana, ingia mchezoni!

Fairy-in-Wonderland_Casino-Post_25-January

CHEZA SASA

13 Komentara

    Arsenal wameamua kujipanga

    Jibu

    All ze best to him

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari njema kwa arsenal

    Jibu

    Arsenal wanajitahidi kwa sasa

    Jibu

    Karibu Sana

    Jibu

    Saf arsenal

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Martin kijana Safi sana akiwa uwanjani

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri na kwa Arsenal hali iliyonayo kwa sasa atawasaidia

    Jibu

    Arsenal wanajitaidi kwa kweri

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Deal zuri kwa Arsenal

    Jibu

Acha ujumbe