Martinez Aandika Rekodi Zake PL.


 

Kipa wa Argentina na klabu ya Aston Villa, Emiliano Martinez amejiweka katika nafasi ya goli kipa bora wa Ligi kuu EPL baada ya kuhamia akitokea Arsenal.

Martinez kwasasa anaongoza kuwa na clean sheets nyingi zaidi katika Ligi ya EPL huku nyingine akiipata dhidi ya Crystal Palace katika ushindi wa 3-0 mbili zaidi ya mlinda mlango mwingine yeyote wa PL.

Emiliano Martinez sasa ameweka clean sheets nane kwenye Ligi msimu huu, moja zaidi kuliko Aston Villa ilivyo Kuwa nazo katika msimu wote uliopita (7).

 

Matokeo ya Aston Villa Msimu huu.

Aston Villa 1-0 win vs. Sheffield United
Aston Villa 3-0 win vs. Fulham
Aston Villa 7-2 win vs. Liverpool
Aston Villa 1-0 win vs. Leicester
Aston Villa 3-0 loss vs. Leeds
Aston Villa 4-3 loss vs. Southampton
Aston Villa 3-0 win vs. Arsenal
Aston Villa 2-1 loss vs. Brighton
Aston Villa 2-1 loss vs. West Ham
Aston Villa 1-0 win vs. Wolves
Aston Villa 0-0 draw vs. Burnley
Aston Villa 3-0 win vs. West Brom
Aston Villa 3-0 win vs. Crystal Palace

🧤 Clean Sheets nyingi zaidi katika ligi tano bora za Ulaya msimu huu:

◎ Jan Oblak (9 katika Mechi 13)
◎ Benoit Costil (9 katika Mechi 17)
◉ Emi Martinez (8 katika Mechi 13).


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

SOMA ZAIDI

15 Komentara

    Safii Sana

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Hongera zakee

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Gud job

    Jibu

    Kipa bora

    Jibu

    Martinez yupo vizuri sema tuu hakuwa akipata nafasi ndani ya Arsenal

    Jibu

    Martinez kipa bora sana

    Jibu

    Kipa nomaaa

    Jibu

    Kipa yupo makini nakaz yake anajua nini anakifanya

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Martini yuko poa sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi san inapendeza

    Jibu

Acha ujumbe