Lautaro Martinez huenda akawa mrithi wa Aguero pale Etihad. Habari kutoka kwenye jarida la 90min zinasema kuwa vilabu vya Manchester City na Liverpool vimekaa tayari kunyakuwa saini ya mshambuliaji wa mabingwa wa Serie A kipindi cha majira ya joto.

Ingawa timu ya Inter Milan imeweka dau la pauni millioni 100, lakini wamedai wanaweza kushusha mpaka angalau mpaka pauni milioni 70. Muitaliano huyo mwneye umri wa miaka 23 amekuwa tageti na timu hizi za EPL kutokana ubora alioonesha akiwa na Lukaku pale Inter msimu huu.

Martinez amefanikiwa kucheza mechi 36 na Inter Milan huku akiwa ameshinda magoli 16 na kutoa pasi za magoli 8. Huu umekuwa ni moja wa msimu bora sana kwa Lautaro.

Manchester City wanahitaji saini ya mshambuliaji huyu ili awe mrithi wa Aguero ambaye atatimka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu. Itakumbukwa kuwa Lionel Messi aliwahi kumtaja Lautaro kama mshambuliaji aliyekamilika.

Endapo atafanikiwa kusainiwa katika klabu yeyote kati ya hizi, basi kijana huyu mwenye umri mdogo kabisa anaweza kujitengenezea ufalme na kuendeleza ubora wake.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Martinez, Lautaro Martinez Ahitajika Na Liverpool Na City, Meridianbet

CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa