MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa kesho wanauhakika wa kuwapapasa wapinzani wao Simba iki kubadili wimbo kwa kila Mtanzania.

Ruvu Shooting itawakaribisha wapinzani wao Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Juni 3.

Katika mchezo wao wa kwanza walipokutana Uwanja wa Uhuru, ubao ulisoma Simba 0-1 Ruvu Shooting hivyo kesho wanahitaji kulinda rekodi yao na Simba wao wanawaza kulipa kisasi.

Masau amesema:”Hamna namna tunataka kuwafunga Simba ili kuonyesha kwamba nasi tupo imara, suala la wao kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika hiyo haitutishi tutafanya vizuri na tupo imara,” .

Katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, Ruvu Shooting ipo nafasi ya 10 na pointi 37 huku Simba ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 64.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa