United: Mashabiki Wakinukisha Glazers Watoke!

Mashabiki wa Manchester United wameamua kuzuia uwanja wa mazoezi wa klabu huko Carrington wakigoma dhidi ya Wamiliki wa Klabu.

Familia ya Glazers haijafanikiwa katika suala la kuwa na uhusiano mzuri na mashabiki tangia walipoichukua timu hiyo, na uamuzi wa klabu juu ya Super League umefanya mashabiki kuja juu dhidi ya wamiliki.

Mashabiki zaidi ya 15 wa United wameingia uwanjani na kuzuia sehemu za kuingilia wakishinikiza wamiliki kuwajibika kwa kuondoa asilimia zao za umiliki. Mashabiki hao walikuwa wameshika mabango yenye jumbe za kiingereza za ‘51%’, ‘Glazers out’ na ‘we decide when you play’.

Mashabiki Wakinukisha United!

Jumbe zote zinashinikiza kuwa mashabiki ndiyo wenye maamuzi na timu, na kuwataka Glazers wajiondoe kwenye umiliki.

Kwa bahati mbaya zaidi, wamiliki wa vilabu ndiyo waliokuwa na neno kwenye sakata la Super League, na kulikuwa na ushirikishwaji mdogo sana wa wahusika wengine kama mameneja na wachezaji. Ujumbe wao unaweza kuwa umefikia mamlaka za United, lakini haifahamiki athari yake katika kubadilisha hali ya hewa ya sakata hili.


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

CHEZA HAPA

13 Komentara

    Dah sio poa kabisa

    Jibu

    Wakae chini waelewane ili kazi ziendelee #meridianbett#

    Jibu

    Sio poa

    Jibu

    Majanga tu

    Jibu

    Mashabiki noma

    Jibu

    Duuuh atar

    Jibu

    Saf

    Jibu

    Duuh noma sana

    Jibu

    Migomo itaisha kweli bila kutafuta ufumbuzi

    Jibu

    Hatari sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Mashabiki wanaheshimika sana

    Jibu

Acha ujumbe