Winga wa klabu ya Manchester United ambaye alikua nje ya uwanja kwa muda mrefu Mason Greenwood atafanya vipimo vya afya leo ndani ya klabu ya Atalanta kwajili ya kujiunga na timu hiyo.

Mason Greenwood anaripotiwa atajiunga na klabu ya Atalanta ya nchini Italia kwa mkopo wa muda, Ikiwa klabu yaya Manchester United imeridhia mchezaji huyo kujiunga na Atalanta ili kuangalia maendeleo yake kama wataamua kumrudisha msimu ujao.Mason greenwoodWinga huyo amekua nje ya uwanja kwa muda mrefu hivo klabu ya Man United hivo klabu hiyo imetaka kumpeleka Atalanta ili kurudisha ubora wake ambao amekua nao kwa misimu kadhaa kabla ya kuua nje ya uwanja.

Mason Greenwood alikua nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya aliyekua mpenzi wake, Lakini mwisho mchezaji huyo alifanikiwa kua huru kutokana na kutokutw ana hatia.Mason greenwoodKlabu ya Manchester United inatarajiwa kutangaza kumtoa kwa mkopo Mason Greenwood baada ya uhamisho wake kwenda klabu ya Atalanta kwa mkopo wa msimu mzima kukalimilika ikiwa leo ndio winga huyo anatarajiwa kukamilisha vipimo vya afya.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa