Klabu ya Simba SC leo itashuka katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa moja usiku kukabiliana na Pamba FC katika mchezo wa robo fainali wa Azam Confederation Cup ASFC.

Simba SC wanaingia katika mchezo huo wakiwa na kumbukumbu ya ushindi mkubwa wa 2-0 katikati ya wiki dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

 

Simba

Wekundu wa msimbazi wataingia katika mchezo huo wakitarajia kuendeleza rekodi yao nzuri ya kufunga magoli 13 katika mechi 2 zilizopita dhidi ya Dar City 2-0 na Ruvu Shooting 7-0.

Kocha wa Simba SC, Pablo Franco amesema mchezo utakuwa mgumu na upinzani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote zinazoshiriki katika michuano hii.

“Katika michuano hii [ASFC] hakuna timu rahisi, huu ni mchezo muhimu kwetu tunahitaji kushinda ili kusonga mbele. Tutapanga kikosi kamili kwa wachezaji wote walio tayari kwa mchezo.” alisema Pablo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa