Matchday : Simba SC dhidi ya RS Berkane.

 

Klabu ya Simba SC leo itakuwa uwanjani kuvaana na RS Berkane kutoka Morocco katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, mchezo huo utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa 10 jioni.

 

Simba SC inaingia katika mchezo wa leo kwa taadhari ikikumbuka kipigo katika mchezo uliopita ugenini huku wachezaji na viongozi wakihaidi kulipiza kisasi kwa kupata ushindi nyumbani.

Kocha wa Simba SC, Pablo Franco amesema mchezo wa leo ni muhimu na utaamua mustakabali wao, kwahivyo wakiwa nyumbani mbele ya mashabiki wanapaswa kushinda.

“Tunafahamu tunaenda kukutana na timu bora ambayo ilitufunga kwao lakini tumejipanga kuhakikisha tunashinda kwetu.

“Tumepata muda mzuri wa kujiandaa, tulikuwa na wiki ya kufanya mazoezi wachezaji wapo kwenye hali nzuri tunaamini tutafanya vizuri,” alisema Pablo.


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe