Klabu ya Simba SC leo itashuka katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa moja usiku kukabiliana na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Simba wanaingia katika mchezo huo wakiwa na kumbukumbu ya ushindi mkubwa wa 4-0 wikiendi iliyopita dhidi ya Ruvu Shooting katika dimba la Benjamin Mkapa.

 

simba sc, Matchday : Simba SC vs Kagera Sugar., Meridianbet

Wababe hao wa kariakoo wataingia katika mchezo huo kwa tahadhari kubwa wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza katika mchezo wa mzunguko wa kwanza uliopigwa katika uwanja wa Kaitaba, Bukoba.

Kocha wa Simba SC, Pablo Franco amesema mchezo utakuwa mgumu na upinzani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote lakini atakayekuwa bora zaidi uwanjani ataibuka na ushindi.

“Mchezo utakuwa mgumu, Kagera ni timu nzuri na tunakumbuka walitufunga katika mchezo wa mzunguko wa kwanza ingawa nasi tulipoteza nafasi nyingi za kufunga.

 

“Tunahitaji kuwapa furaha mashabiki wetu ambao mara zote wamekuwa nasi katika nyakati za furaha na huzuni. Tutawakosa baadhi ya wachezaji wetu muhimu kutokana na kuwa majeruhi lakini waliopo wapo tayari kupambana,” amesema Pablo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa