Klabu ya Yanga SC leo itashuka dimbani kuvaana na Simba SC katika dabi ya Kariakoo na mchezo wa Ligi kuu ya NBC majira ya saa kumi na moja jioni katika dimba la Mkapa Stadium.

Yanga SC ambaye ndiye mwenyeji wa mchezo huu wamesema wapo tayari kwaajili ya mchezo huu na wanajua ni mchezo mkubwa hivyo wataingia kwa tahadhari zote.

 

yanga, Matchday : Yanga SC vs Simba SC, Kariakoo Dabi., Meridianbet

“Tunakwenda kucheza mchezo wenye nidhamu kwasababu tunajua tunaenda kukutana na mpinzani mzuri na mwenye uzoefu na kila mchezaji anafahamu umuhimu wa mechi ya kesho kwetu sote na naamini kesho tuna nafasi” Kocha Msaidizi ya Yanga SC, Cedric Kaze.

Upande wa Simba SC ambao ni wageni wa dabi ya Kariakoo wamesema wanaingia katika mchezo wa leo kwa lengo la kupata alama tatu na kuwa timu ya kwanza msimu huu kuvunja rekodi ya kutofungwa ya vinara hao.

“Hatuna presha yoyote kuelekea mchezo wa leo. Simba ni timu kubwa na ina wachezaji bora pia inacheza vizuri zaidi yao na inapenda kucheza mechi kubwa pia. Tuna fahamu utakuwa mchezo mgumu lakini tumejipanga vizuri,” amesema kocha Pablo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa