Kocha Msaidizi wa Simba SC, Seleman Matola, amesema kikosi kipo tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi Ruvu Shooting utakaopigwa Uwanja kwa Benjamin Mkapa saa moja usiku.

Matola amesema baada ya kurudi kutoka mkoani Lindi katika mchezo dhidi ya Namungo kikosi cha Simba SC kiliingia kambini moja kwa moja tayari kwaajili ya mchezo huo.

 

matola, Matola : Tupo Tayari Kwaajili ya Ruvu., Meridianbet

Mchezaji huyo wa zamani wa Simba SC, amesema hawajapata ushindi katika michezo mitatu iliyopata lakini jambo hilo halijashusha morali na watahakikisha wa napata ushindi.

“Tunajua mchezo utakuwa mgumu, Ruvu ni timu nzuri na ipo kwenye nafasi mbaya katika msimamo hivyo wanahitaji ushindi ili kujinasua lakini tupo tayari kuwakabili.

“Kikosi kipo kwenye hali nzuri wachezaji wote wapo tayari isipokuwa Hassan Dilunga na Sadio Kanoute ambao ni majeruhi,” amesema Matola.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa