Manchester City tayari walithibitisha kumsajili Erling Haaland wiki hii.

Mshambuliaji huyo wa Norway alikumbwa na minong’ono ya uhamisho kwenda vilabu vikubwa, karibu miamba wote wa Uropa, hasa Real Madrid, wakiwania saini yake.

Man City wameshinda, kwa kutumia kipengele cha kumnunua kwa mkataba kwa dau la €60m la mkataba wake na Borussia Dortmund.

Lakini kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Haaland anaweza kuwa tayari kujiandaa kwa uhamisho mwingine katika msimu wa joto wa 2024.

Hapo ndipo kifungu cha kutolewa cha €150m kitakapoanza kutumika, na kufungua mlango wa dili bora la uhamisho wa staa huyu.

Earling Haaland

Moja ya sababu zilizofanya Haaland kuchagua City dhidi ya Real Madrid ni uwepo wa Karim Benzema na, kama inavyoonekana kuwa kuna uwezekano Kylian Mbappe kutimba Real Madrid pia.

Lakini Karim Benzema atafikisha umri wa miaka 36 mwaka 2024 na inaonekana ni vigumu kwake kucheza soka kwa kiwango alichonacho sasa kwa wakati huo. Njia inaonekana kuwa imeandaliwa kikamilifu kwa Haaland kufika Santiago Bernabeu wakati huo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa