Mbappe na Huruma kwa Ben Yedder

Mshindi wa kiatu cha Dhahabu cha Ligue 1, Kylian Mbappe anaamini wanatakiwa kugawana tuzo hiyo na Wissam Ben Yedder baada kufungana kwa magoli 18 wote.

Mbappe alitangazwa kuwa mfungaji bora wa Alhamisi baada ya msimu kumalizika kwasababu ya Corona.

Straika PSG amemaliza akiwa na magoli sawa na mshambuliaji wa Monaco, Ben Yedder, lakini ametwa tuzo hiyo kwasababu alifunga magoli mengi kwa jitihada binafsi.

Magoli matatu ya Ben Yedder yalikuwa penati lakini Mbappe anaamini mchezaji mwenzake wa Ufaransa, anastahili kutambuliwa.

Wissam Ben Yedder finished second because three of his 18 goals were from the penalty spot
Wissam Ben Yedder

“Asante kwa meseji zenu. Nafikiri Wissam pia anastahili tuzo kama Premier League walivyofanya msimu uliopita katika utoaji wa tuzo,” Mbappe amesema kwenye kurasa wake wa Twitter akamalizia kwa kusema ‘Taji kwa Wissam’.

Ben Yedder akasema: “Asante kaka, hongera kwako… Tutafanya namna kama utataka.”

Kumbukumbu ya Mbappe kwe Premier League inahusu tuzo ya kiatu cha Dhahabu 2018-19 ambacho kiligawanywa sawa kwa nyota wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang na Liverpool, Sadio Mane na Mohamed Salah, wote walikuwa na magoli 22.Mohamed Salah, Pierre-Emerick Aubameyang and Sadio Mane shared the Premier League Golden Boot last season after all scoring 22 goals

Kwa Mbappe, hii ni mara ya pili mfululizo nyota huyo kutwaa mfungaji bora wa Ligue 1. Ligi ilimalizika rasmi wiki iliyopita, na PSG kutangazwa mabingwa, wakati Toulouse na Amiens wameshuka daraja.

39 Komentara

    Hakuna kama mbappe.

    Jibu

    Mbappe yupo vzr namkubali sana

    Jibu

    Maamuzi ya kimpira busara kabisa

    Jibu

    Mbappe ni muungwana sana, baada ya Ufaransa kubeba kombe la Dunia fedha zote alizopata alitoa msaada.

    Jibu

    mbappe nlianza kumuelewa wkt anacheza kombe la dunia kwny timu yk ya taifa

    Jibu

    Mbappe Ni muungwana
    Na anajuwa mpira

    Jibu

    Habar nzur

    Jibu

    Akuna Kama mbape anajua

    Jibu

    Mbappe ana roho ya kipekee anapenda haki sawa

    Jibu

    Mbape mchezaji mwenye umri mdogo lkn anafanya vyema

    Jibu

    Mbappe anajua sana na anastahili kilicho bora 💯

    Jibu

    Mbappe jembee..

    Jibu

    Mbape akaze ivo ivo atakuja kuweka record zake nzuri duniani

    Jibu

    He is a world class player and professional, That is a classy act of sportsmanship.

    Jibu

    Mbappe yupo vizuri sanaa💯

    Jibu

    Namuelewa sana mbappe jembe laPSG

    Jibu

    Hiyo habari iko fresh

    Jibu

    Anajua kulichungulia gol.

    Jibu

    Talent player

    Jibu

    mbappe yuko saf sana

    Jibu

    Habari jema sana

    Jibu

    Asante meridian kwa habar ya kimichezo

    Jibu

    Mbappe namkubalii kichiziii

    Jibu

    Yuko vzr

    Jibu

    mbappe mtu mbaya

    Jibu

    Ana moyo wa peke ake 😅😅😅mm nisingeweza kwa kweli uongo dhambi

    Jibu

    Yuko Poa

    Jibu

    Anajuwa akaze buti atafika mbali

    Jibu

    Mbappe yupo poa sanaa

    Jibu

    Vizuri lakini watagawanaje hiyo tuzo mbappe anastahili

    Jibu

    Mbape ni noma

    Jibu

    Mbappe ana hekima sana

    Jibu

    namkubali mbappe yuko vizuri

    Jibu

    Yuko vinzur sanaa

    Jibu

    Mbape yuko vizur sana

    Jibu

    Mbappe Yuko juu

    Jibu

    Mbappe Ni muungwana
    Na anajuwa mpira

    Jibu

    Huyu dogo noma Sana

    Jibu

    Ni vizur kwake

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.