Mshambuliaji matata wa Paris Saint Germain, Kylian Mbappe amekuwa na kipindi kigumu baada ya kutoka katika majeruhi, baada ya kuwa na ukame wa magoli.

Kylian Mbappe hajanikiwa kufunga goli lolote kwenye mechi 9 za mwisho za Uefa Champions League;

Vs Manchester United❌
Vs Rb Leipzig❌
Vs Instambul Basaksehir❌
Vs Manchester United❌
Vs Bayern Munichen❌
Vs Rb Leipzig❌
Vs Atalanta❌
Vs Borrusia Dortmund❌
Vs Borrusia Dortmund❌

Katika mechi hizo jumla amepiga mashuti 27 yaliyolenga lango lakini goli 0.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

mbappe, Mbappe na Rekodi za Mechi 9 UEFA., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

21 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa