Huku ligi nyingi duniani zikiendelea kushuhudia mabingwa wakitangazwa mabingwa wa ligi zao, kule La Liga mambo hayaeleweki kabisa pengine mpaka mwisho wa msimu.

Mbio za kuwania ubingwa wa ubingwa wa LALIGA kwa sasa umekuwa kama lile shindano la kukimbia ndani ya magunia, ambayo unategemea kuanguka kadri unavyoongeza spidi.

Timu zinazowania ubingwa zimeendelea kuambulia alama moja moja, mwishoni wa juma Barcelona ilitoka suluhu [0-0] na Barcelona kule Camp Nou huku Madrid ikitoka sare ya kufungana 2-2 na Sevilla.

Jana Barcelona imeng’ang’aniwa na kulazimishwa sare ya kufungana 3-3 na Levante. Katika mchezo ambao ulionekana kuwa upande wa Barcelona, bado hakuna anaeamini kuwa Barcelona wangelazimishwa sare ya magoli mengi hivi.

MBIO ZA UBINGWA LA LIGA

1. Atletico |35| 77 pts
2. Barcelona |36| 76 pts
3. Madrid |35| 75 pts
4. Sevilla |35| 71 pts

Je, ni nani atachukua kombe hili msimu huu? Madrid nae atakuwa kibaruani hapo kesho kuvaana na Granada kesho na endapo atashinda basi atapanda kileleni mwa msimamo huo.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

MBIO, Mbio Za Ubingwa Wa La Liga Zasuasua, Meridianbet

CHEZA HAPA

15 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa