Ligi kuu bara yakwama , Mtanange kati ya Namungo FC dhidi ya Mbeya Kwanza umeshindwa kupigwa katika Dimba la Ilulu Lindi, baada ya Mbeya Kwanza kugoma kuanza kwa Mechi hiyo kutokana na kukosekana kwa gari la kubebea wagonjwa kama sheria na kanuni zinavyotaka uwepo wa gari hilo.
Ligi kuu bara
Ligi kuu bara

Mara baada ya mgomo huo gari la wagonjwa (ambulence) lilifika majira ya saa 10:23 jioni wakati mchezo ulipaswa kuanza majira ya saa 10:00 jioni, Wachezaji wameondoka uwanjani na sasa unasubiriwa uamuzi wa Mamlaka za Soka.

Ligi kuu bara
Ligi kuu bara

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa