Mechi ya Kufuzu Ligi ya Mabingwa Yaahirishwa

Hatua za awali kabisa za Ligi ya Mabingwa 2020/21 zimeendelea kwenye hatua za kufuzu kucheza ligi.

Wakati baadhi ya timu zikiwa zimeshafuzu moja kwa moja kwenye Ligi ya Mabingwa, baadhi ya timu ziko kwenye mzunguko wa kufuzu kushiriki ligi hii.

UEFA wametangaza kuwa mechi ya kufuzu ligi hii kati ya Drita na Linfield, imeahirishwa Jumanne baada ya mchezaji wa pili kuripotiwa kuwa na mambukizi ya Covid-19.

Baada ya mchezaji huyo kufanyiwa vipimo Jumatatu, na kubainika na maambukizi, mamlaka za afya Uswisi wameamua kuwaweka karantini timu nzima ya Drita kwa kuwa mchezaji huyu alikuwa akihusiana na wachezaji wenzake.

Kwa mujibu wa sheria za UEFA, timu ili iweze kucheza mechi inahitaji kuwa na wachezaji 13 ambao wapo katika hali nzuri.

Kutokana na changamoto hii, UEFA wataamua kuangalia uwezekano wa kuipangia mechi iliyoahirishwa tarehe nyingine, baada ya hali kuwa sawa.

 


 

Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

soma zaidi

40 Komentara

    Hii Corona jamani.Mungu atuepushie tu jamani

    Jibu

    Duuh corona iliharibu Kila kitu#Meridianbettz

    Jibu

    duh corona noma

    Jibu

    Hii corona sio poa Dah tunakosa mkwanja kwa ajir ya corona

    Jibu

    Ugonjwa hatari sana

    Jibu

    Afya kwanza mengine badae

    Jibu

    Wamefanya jambo la maana

    Jibu

    Da! Corona ugonjwa hatari

    Jibu

    Corona sio poa

    Jibu

    Hili gonjwa hatari

    Jibu

    Corona sio ugonjwa wa mchezo mchezo

    Jibu

    Duh corona inatupotezea kabisa burudani.

    Jibu

    Maisha yanatakiwa kuendelea bila kuhofu sana ugonjwa huu ambao hatujui utachukua muda gani kuisha#meridianbettz

    Jibu

    Duuh corona kweli imatisha mana tumefika hatua zuri za final nayo inazidi kupamba kwa wachezaji mungu awe kinga kwetu mana inaogopesha sana

    Jibu

    Duuuh Corona imearibu

    Jibu

    Corona ni ugonjwa hatali sana

    Jibu

    Hili gojwa la corona ni endelevu
    Inabidi tuondoe hofu ili maisha yaendelee na kuzingatia Kinga
    @meridianbettz

    Jibu

    Corona inatishaaa

    Jibu

    Yaani coronaa Sio Poaw

    Jibu

    Coran sio powah!

    Jibu

    Covid 19 noma sana hiiiiiii kila kitu majanga tu

    Jibu

    Dah!!! Janga la dunia

    Jibu

    Corona Sio poa kabisa

    Jibu

    Corona hii

    Jibu

    Dhaa Corona balaa sana tunakosa mechi hiv hivi

    Jibu

    corona jamani hatari#meridianbettz

    Jibu

    Corrona imeua Sana Radha ya soka ulimwenguni kote.

    Jibu

    Corona bado inaendelea kutuharibia burudani

    Jibu

    Afya ndio kila kitu

    Jibu

    Corona inaondoa uhondo kabisa

    Jibu

    Duuuh corona kivuluge jaman!

    Jibu

    Aisee corona

    Jibu

    Duuuh corona inatisha sana

    Jibu

    Ni sawa tuu maana Kinga Bora kuliko tiba!!!

    Jibu

    COVID-19 inatupa wakati mgumu sana kwenye nyanja zote katika maisha, Mungu atufanyie wepesi kuhusu janga hili

    Jibu

    Corona haifai.

    Jibu

    huu ugonjwa umejua kutuharibia mipango mingi sana

    Jibu

    Afya kwanza mengine badae

    Jibu

    Corona kesha fanya yake tena

    Jibu

    Duu corona sio poa

    Jibu

Acha ujumbe