MECHI YA YANGA NA CBE KUPIGWA ABEBE BIKILA

Mchezo wa hatua ya pili na ya Mwisho ya Mtoano Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Comercial Bank of Ethiopia (CBE FC) dhidi ya Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga utachezwa katika Uwanja wa ABEBE BIKILA unaopatikana katika Mji Mkuu wa Taifa hilo Adis Ababa.

Uwanja huo una uwezo wa kuingiza Mashabiki 25,000 pekee na ni moja ya viwanja vyenye eneo bora la kuchezea na muonekano wa kisasa zaidi ndani ya Taifa hilo.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

MECHI YA YANGA NA CBE KUPIGWA ABEBE BIKILA

Uwanja huu ndio ulihodhi fainali ya CECAFA Women Champions Mwaka huu ambapo Timu ya Wanawake ya CBE FC ndio ilitwaa Ubingwa huo Mbele ya Miamba mingine ya soka la wanawake Afrika Mashariki kama Simba Queens ya Tanzania na Police FC ya Kenya.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Wachezaji wa Yanga ambao walioondoka leo ni wale ambao walikuwa hawana majukumu ya kimataifa, wakati mastaa kama Djigui Diaraa, Prince Dube, Duke Abuya na Khalid Aucho waliripotiwa kutua nchini Ehiopia jana.

Huku Cloutus Chama pamoja na Kennedy Musonda wanatarajiwa kufika nchini humo leo wakiwa wanaungana na wachezaji wa Yanga waliokuwa kwenye kikosi cha Taifa Stars, kilichocheza mchezo wa kufuzu Kombe la Mataifa Afrika dhidi ya Guinea juzi na kushinda mabao 2-1.

Acha ujumbe